Categories
Lyrics

Phy – Shugli lyrics

Kungoja nimengoja
Kwa umbali sikuoni
Sauti nasikia
Imekuwa siku mingi

Nimekupa siku mbili
Ujionyeshe nyumbani
Juu mwangaza ukitua
Nina hili la kusema

Wewe, wewe jipe shugli
Nenda, nenda jipe shugli
Wewe, wewe jipe shugli
Nenda, nenda jipe shugli

Matunda yameiva
Si kazi yangu kuyachuna
Na mwaka umepita
Hujaonekana nyumbani, wewe

Nimeongeza miezi mbili
Ujionyeshe nyumbani
Juu mwangaza ukitua
Nina hili la kusema

Wewe, wewe jipe shugli
Nenda, nenda jipe shugli
Wewe, wewe jipe shugli
Nenda, nenda jipe shugli

Usiku kitandani nalia nikiuliza
Uko wapi wewe
Usiku kitandani nalia nikiuliza
Uko wapi wewe
Usiku kitandani nalia nikiuliza
Uko wapi wewe
Usiku kitandani nalia nikiuliza
Uko wapi wewe

Wewe, wewe jipe shugli
Nenda, nenda jipe shugli
Wewe, wewe jipe shugli
Nenda, nenda jipe shugli

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *